sw_tn/jhn/05/43.md

24 lines
422 B
Markdown

# katika jina la Baba yangu
Hapa neno "jina" lina maanisha mamlaka na nguvu za Baba.
# Baba
Cheo muhimu kwa Mungu.
# pokea
"pokea"
# mtawezaje kuamini, ninyi ambao hupokea ...Mungu?
"Hakuna namna mnaweza kuamini kwa sababu mnapokea sifa... Mungu!"
# amini
hii ina maanisha kuamini katika Yesu.
# Nimekuja kwa jina la Baba yangu...kutoka kwa Mungu pekee
Yesu amekuja duniani kwa jina la Mungu Baba, Mungu pekee.