# katika jina la Baba yangu Hapa neno "jina" lina maanisha mamlaka na nguvu za Baba. # Baba Cheo muhimu kwa Mungu. # pokea "pokea" # mtawezaje kuamini, ninyi ambao hupokea ...Mungu? "Hakuna namna mnaweza kuamini kwa sababu mnapokea sifa... Mungu!" # amini hii ina maanisha kuamini katika Yesu. # Nimekuja kwa jina la Baba yangu...kutoka kwa Mungu pekee Yesu amekuja duniani kwa jina la Mungu Baba, Mungu pekee.