sw_tn/jhn/05/39.md

8 lines
209 B
Markdown

# ndani yao mna uzima wa milele
"mtapata uzima wa milele kama mtasoma maandiko" au "maandiko yatakwambia namna mtakavyo pata uzima wa milele."
# Ili mpate uzima
"uzima" hapa ina maanisha "uzima wa milele."