# ndani yao mna uzima wa milele "mtapata uzima wa milele kama mtasoma maandiko" au "maandiko yatakwambia namna mtakavyo pata uzima wa milele." # Ili mpate uzima "uzima" hapa ina maanisha "uzima wa milele."