sw_tn/jhn/03/34.md

28 lines
624 B
Markdown

# Kiiunganishi cha Sentesi:
Yohana Mbatizaji anamaliza kuongea."
# Kwa maana yeye ambaye Mungu amemtuma "
Huyu Yesu, ambaye Mungu amemtuma kumwakilisha."
# kwa kuwa hatoi Roho kwa kipimo
" Kwa sababu yeye ndiye ambaye Mungu amempa nguvu zote za Roho wake."
# Baba...Mwana
Hiki ni cheo kinachoelezea uhusiano wake kati ya Mungu na Yesu.
# amepewa...katika mikono yake
Hii ina maanisha kuwekwa katika nguvu zake au kuotawala.
# Yeye aaminiye
"Mtu aaminiye" au "mtu yeyote aaminiye."
# ghadhabu ya Mungu inamkalia
Nomino dhaniwa "ghadhabu" linaweza kufasiriwa kama kitenzi "adhibu." "Mungu ataendelea kumwadhibu."