forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
725 B
Markdown
20 lines
725 B
Markdown
# Kiunganishi cha Sentesi:
|
|
|
|
Yesu anamaliza kumjibu Nikodemo.
|
|
|
|
# nuru imekuja ulimwenguni
|
|
|
|
Neno "nuru" ni fumbo kwa kweli ya Mungu iliyofunuliwa katika Yesu. Dunia ni neno linalojumisha vitu vyote vilivyomo duniani. Yeye ambaye ni kama nuru ameifunua kweli ya Mungu kwa watu."
|
|
|
|
# watu wakalipenda giza
|
|
|
|
"giza" ni fumbo linalomaanisha mahali ambapo hawajapokea nuru" ya ufunuo wa Mungu katika Kristo.
|
|
|
|
# ili kwamba matendo yake yasiwe dhahili
|
|
|
|
inaweza kutamkwa katika muundo wa kutenda. "ili kwamba nuru isioneshe mambo ayafanyayo" au " kwamba ili nuru isifunue matendo yao.
|
|
|
|
# matendo yake yaonekane wazi
|
|
|
|
Hili linaweza kutamkwa katika muundo tenda. " Watu wanaweza matendo yake" au "kila mtu aweze kuona mambo ahafanyayo.
|