sw_tn/jhn/02/intro.md

1.0 KiB

Yohana 02 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Divai

Ilikuwa ni desturi ya divai kutumiwa wakati wa sherehe. Haikuchukuliwa uovu kunywa divai.

Kuwafukuza wanaobadili pesa

Hii ndiyo maelezo ya kwanza juu ya Yesu kuwafukuza nje ya hekalu wanaovunja pesa. Tukio hili lilionyesha mamlaka ambayo Yesu alikuwa nayo juu ya hekalu na juu ya Israeli yote.

"Alijua yaliyokuwa ndani yao"

Yohana anajua kwamba inawezekana kwa Yesu kuwa na aina hii ya ujuzi kwa sababu tu ya Yesu kuwa Mungu. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Wanafunzi wake wakakumbuka"

Maneno haya hutumiwa kama ufafanuzi wa matukio yanayotokea katika sura hii. Maneno haya hayajulikani wakati ambapo matukio hutokea, lakini yamejulikana wakati kitabu kilipoandikwa. Watafsiri wanaweza kuchagua kutumia mabano ili kutenga maelezo au ufafanuzi wa mwandishi juu ya matukio yaliyopita.

<< | >>