sw_tn/jhn/01/intro.md

2.2 KiB

Yohana 01 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka mbele kidogo nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 1:23, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.

Dhana maalum katika sura hii

"Neno"

Hili ni neno la kipekee unaotumiwa kumtaja Yesu. Yeye ni "Neno la Mungu" katika hali ya kimwili na ufunuo wa mwisho wa Mungu mwenyewe duniani. Ingawa hii inaweza kuonekana kuwa mafundisho magumu, ni rahisi sana: Yesu ni Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. (See: [[rc:///tw/dict/bible/other/wordofgod]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/flesh]], and rc://*/tw/dict/bible/kt/reveal)

Mwanga na Giza

maneno haya ni mifano ya kawaida katika Agano Jipya. Mwangaza hutumiwa hapa ili kuonyesha ufunuo wa Mungu na haki yake. Giza ni mfano wa dhambi na dhambi hupenda kufichwa kwa macho ya Mungu. (See: [[rc:///tw/dict/bible/other/light]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/righteous]], [[rc:///tw/dict/bible/other/darkness]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/sin]])

"Watoto wa Mungu"

Wakati watu wanpomwamini Yesu, wanaacha kuwa "watoto wa ghadhabu" na kuwa "watoto wa Mungu." Wanaingizwa katika "familia ya Mungu." Huu ni mfano muhimu ambayo itafunuliwa katika Agano Jipya. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/believe]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/adoption]])

Mifano muhimu za usemi katika sura hii

Mifano

Ingawa vitabu vingine vya Injili mara nyingi vinatumia mifano katika mafundisho ya Yesu na katika unabii, sura ya kwanza ya injili hii inatumia mifano kwa kielelezo cha maana ya maisha ya Yesu. Kwa sababu ya mifano hizi, msomaji anaonyeshwa kwamba injili hii italeta ufahamu zaidi juu ya maisha ya Yesu kwa kitheolojia. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Mwanzoni kulikuwa neno"

Sehemu ya kwanza ya sura hii inafuata taratibu ya kanuni za ufahamuna muundo wa kishairi. Kutafsiri taratibu hizi itakuwa vigumu sanai.

"Mwana wa Binadamu"

Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.' (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/sonofman)

| >>