sw_tn/jhn/02/01.md

12 lines
485 B
Markdown

# Maelezo kwa Jumla:
Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini. Mstari huu unaonyesha habari ya nyuma juu ya habari inavyoanza.
# Siku tatu baadaye
Wafaasili wengi husoma hili kama siku ya tatu baada ya Yesu kumwiita Filipo and Nathanaeli kuja kwake. Siku ya kwanza inaonekana katika Yohana 1:35 na siku ya pili ni 1:43
# Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa harusini
Hii inaweza kutamkwa kama tendaji. AT: " Mtu alimwalika Yesu na wanafunzi wake katika arusi."