# Maelezo kwa Jumla: Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini. Mstari huu unaonyesha habari ya nyuma juu ya habari inavyoanza. # Siku tatu baadaye Wafaasili wengi husoma hili kama siku ya tatu baada ya Yesu kumwiita Filipo and Nathanaeli kuja kwake. Siku ya kwanza inaonekana katika Yohana 1:35 na siku ya pili ni 1:43 # Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa harusini Hii inaweza kutamkwa kama tendaji. AT: " Mtu alimwalika Yesu na wanafunzi wake katika arusi."