# Hemutali
Hili ni jina la mwanamke.
# Libna
Hili ni jina la mji.
# Yeremia
Huyu ni Yeremia mwingine na sio nabii Yeremia aliyeandika kitabu hiki.
# Yeye
Huyu ni Sedekia anazungumzwa hapa.