# Hemutali Hili ni jina la mwanamke. # Libna Hili ni jina la mji. # Yeremia Huyu ni Yeremia mwingine na sio nabii Yeremia aliyeandika kitabu hiki. # Yeye Huyu ni Sedekia anazungumzwa hapa.