sw_tn/jer/51/36.md

293 B

Taarifa ya jumla:

Hapa Bwana anaanza kujibu ombi la Yeremia katika mstari wa 34 na 35.

Miundo ya saruji

Haya ni majengo ambayo yamekuwa kama uchafu.

Kundi la mbweha

"nyumba kwa ajili ya mbwa mwitu"

maafa

"sehemu mbaya ya kuishi"

Sonya

Hii ni sauti inayoonesha kutokukubali.