# Taarifa ya jumla: Hapa Bwana anaanza kujibu ombi la Yeremia katika mstari wa 34 na 35. # Miundo ya saruji Haya ni majengo ambayo yamekuwa kama uchafu. # Kundi la mbweha "nyumba kwa ajili ya mbwa mwitu" # maafa "sehemu mbaya ya kuishi" # Sonya Hii ni sauti inayoonesha kutokukubali.