sw_tn/jer/51/30.md

262 B

Huu mji umechukuliza

"Adui wameumiliki mji wote."

Vivuko katika mito yalitekwa

Adui walimiliki sehemu zote za kuvukia.

Vivuko

Kivuko ni sehemu nyembamba katika mto ambayo watu hutumia kupita.

Kuchanganyikiwa

"Kutokuwa na uwezo wa kufikiri vizuri"