sw_tn/jer/51/30.md

16 lines
262 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huu mji umechukuliza
"Adui wameumiliki mji wote."
# Vivuko katika mito yalitekwa
Adui walimiliki sehemu zote za kuvukia.
# Vivuko
Kivuko ni sehemu nyembamba katika mto ambayo watu hutumia kupita.
# Kuchanganyikiwa
"Kutokuwa na uwezo wa kufikiri vizuri"