sw_tn/jer/51/15.md

8 lines
209 B
Markdown

# anapopiga radi, kuna sauti ya maji katika mbingu
Maneno haya yanaifananisha sauti ya Bwana na sauti kubwa ya radi na mvua.
# Ghala
Ghala ni sehemu ambayo vitu hihifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya baadae.