sw_tn/jer/51/15.md

209 B

anapopiga radi, kuna sauti ya maji katika mbingu

Maneno haya yanaifananisha sauti ya Bwana na sauti kubwa ya radi na mvua.

Ghala

Ghala ni sehemu ambayo vitu hihifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya baadae.