# upepo wa uharibifu
"uhasibifu usio na mwisho"
# Leb- Kamai
Hili ni jina lingine la Babeli.
# Kutawanyika
Kutawanyika ni kusambaratisha na kwenda uelekeo tofauti.
# Siku ya maafa
"siku itakapoharibiwa"