# upepo wa uharibifu "uhasibifu usio na mwisho" # Leb- Kamai Hili ni jina lingine la Babeli. # Kutawanyika Kutawanyika ni kusambaratisha na kwenda uelekeo tofauti. # Siku ya maafa "siku itakapoharibiwa"