sw_tn/jer/50/33.md

16 lines
208 B
Markdown

# Watu wa Israeli wamenyanyaswa
"Babeli wanawanyanyasa watu wa Israeli"
# Kuwakamata
Hawa ni watu wa Israeli.
# Walikataa
Hawa ni watu wa Babeli.
# Kuwaacha waende
Hapa wanazungumziwa wana wa Israeli.