# Watu wa Israeli wamenyanyaswa "Babeli wanawanyanyasa watu wa Israeli" # Kuwakamata Hawa ni watu wa Israeli. # Walikataa Hawa ni watu wa Babeli. # Kuwaacha waende Hapa wanazungumziwa wana wa Israeli.