sw_tn/jer/50/23.md

16 lines
294 B
Markdown

# Kwa namna gani nyundo ya mikono yote imekatwa vipande na kuharibiwa
"nyundo wa mikono yote" ni jeshi kubwa la Babeli ambalo litakwenda kuharibiwa.
# Hofu
Ni hisia nzito ya uoga na mshtuko.
# Ulikamatwa, Babeli
"Nilikukamata, Babeli"
# Ulionekana na kukamatwa
"Nilikuona na kukukamata"