sw_tn/jer/50/23.md

294 B

Kwa namna gani nyundo ya mikono yote imekatwa vipande na kuharibiwa

"nyundo wa mikono yote" ni jeshi kubwa la Babeli ambalo litakwenda kuharibiwa.

Hofu

Ni hisia nzito ya uoga na mshtuko.

Ulikamatwa, Babeli

"Nilikukamata, Babeli"

Ulionekana na kukamatwa

"Nilikuona na kukukamata"