sw_tn/jer/50/08.md

252 B

Kama beberu anayeondoka

Hii inawafananisha wana wa Israeli ambao Bwana amewashauri waondoke mapema Babeli kama beberu anayeshangaa toka kwenye kundi.

Bebeli itakamatwa toka hapo

"Mataifa yataikamata Babeli"

Analosema Bwana

"Alilosema Bwana"