# Kama beberu anayeondoka Hii inawafananisha wana wa Israeli ambao Bwana amewashauri waondoke mapema Babeli kama beberu anayeshangaa toka kwenye kundi. # Bebeli itakamatwa toka hapo "Mataifa yataikamata Babeli" # Analosema Bwana "Alilosema Bwana"