sw_tn/jer/49/09.md

12 lines
247 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
# Kama wavunaji wa zabibu watafika
"Wale wanaovuna zabibu huwa wanaacha baadhi kwenye mizabibu."
# Wezi wakija
"Wezi wakija usiku, wataiba kwa kadiri wanavyohitaji"