# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu. # Kama wavunaji wa zabibu watafika "Wale wanaovuna zabibu huwa wanaacha baadhi kwenye mizabibu." # Wezi wakija "Wezi wakija usiku, wataiba kwa kadiri wanavyohitaji"