sw_tn/jer/48/46.md

16 lines
276 B
Markdown

# Watu wa Kemoshi wameharibiwa
"Watu wa Kemoshi wameharibiwa na adui zao"
# Kemoshi
"Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu.
# siku zijazo
Hizi ni siku za wakati ujao, zilizoitwa "siku za mwisho."
# Analosema Bwana
"alilosema Bwana"