# Watu wa Kemoshi wameharibiwa "Watu wa Kemoshi wameharibiwa na adui zao" # Kemoshi "Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu. # siku zijazo Hizi ni siku za wakati ujao, zilizoitwa "siku za mwisho." # Analosema Bwana "alilosema Bwana"