sw_tn/jer/48/45.md

595 B

waliokwenda

Hawa ni watu walioweza kukimbia katika kipindi cha uharibifu wa Moabu.

Kivuli cha Heshiboni

sehemu salama katika mji wa Heshboni.

kwa kuwa moto utatoka Heshboni, miale toka katikati ya Sihoni

Hii ina maana kuwa uharibifu wa Moabu utaanza na kusambaa toka Heshiboni.

Paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye kujivuna

Hapa wanazungumziwa watu wa Heshboni na viongozi wao.

Paji la uso

Ni sehemu ya uso iliyoko juu ya macho. Ni ishara ya kujivuna.

Juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.

Hapa wanazungumziwa watu muhimu wa Moabu kama wakuu na viongozi.