sw_tn/jer/48/45.md

24 lines
595 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# waliokwenda
Hawa ni watu walioweza kukimbia katika kipindi cha uharibifu wa Moabu.
# Kivuli cha Heshiboni
sehemu salama katika mji wa Heshboni.
# kwa kuwa moto utatoka Heshboni, miale toka katikati ya Sihoni
Hii ina maana kuwa uharibifu wa Moabu utaanza na kusambaa toka Heshiboni.
# Paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye kujivuna
Hapa wanazungumziwa watu wa Heshboni na viongozi wao.
# Paji la uso
Ni sehemu ya uso iliyoko juu ya macho. Ni ishara ya kujivuna.
# Juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.
Hapa wanazungumziwa watu muhimu wa Moabu kama wakuu na viongozi.