sw_tn/jer/48/26.md

536 B

Kumfanya alewe

Adhabu ambayo Mungu ameituma kwa Moabu itawafanya wadharauliwe na adui zao, kama vile mlevi adharauliwavyo na kuchekwa.

Sasa Moabu atayaonea kinyaa matapishi yake, hivyo amekuwa kicheko

Mungu anaendelea kumfananisha Moabu na mlevi.

Je Israeli hajawa kicheko?

"Kwa kuwa mlikuwa mkiwacheka na kuwadharau watu wangu wa ufalme wa Israeli."

Je alikuwepo kati ya wezi, ambae ulikuwa unatikisa kichwa chako ulipokuwa ukizungumza kuhusu yeye?

"Japokuwa walikuwa wezi hawakukamatwa. Ulitikisa kichwa na kuwadharau.