sw_tn/jer/48/26.md

16 lines
536 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kumfanya alewe
Adhabu ambayo Mungu ameituma kwa Moabu itawafanya wadharauliwe na adui zao, kama vile mlevi adharauliwavyo na kuchekwa.
# Sasa Moabu atayaonea kinyaa matapishi yake, hivyo amekuwa kicheko
Mungu anaendelea kumfananisha Moabu na mlevi.
# Je Israeli hajawa kicheko?
"Kwa kuwa mlikuwa mkiwacheka na kuwadharau watu wangu wa ufalme wa Israeli."
# Je alikuwepo kati ya wezi, ambae ulikuwa unatikisa kichwa chako ulipokuwa ukizungumza kuhusu yeye?
"Japokuwa walikuwa wezi hawakukamatwa. Ulitikisa kichwa na kuwadharau.