sw_tn/jer/46/20.md

645 B

Misri ni ndama mzuri

Misri inafananishwa na ndama mzuri.

wadudu wakali

Hili ni jeshi la Babeli. Wadudu wakali watasababisha maumivu lakini sio maumivu ya kudumu.

askari ni kama ng'ombe aliyenona

Mwandishi anawafananisha askari kama "mg'ombe aliyenona" kwa sababu askari wanatunzwa vizuri.

Hawatasimama pamoja

Mwandishi anasema kuwa askari hawatapigana wakiwa na umoja lakini watakimbia wakifikiria kujiokoa wenyewe.

Misri wana sauti kama nyoka na hutambaa mbali

Mwandishi anasema kuwa taifa la Misri ni kama nyoka ambae hawezi kufanya chochote zaidi ya kutoa sauti na kutambaa kwa hofu wakata misitu wanapoingilia kiota chao.