sw_tn/jer/46/20.md

20 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Misri ni ndama mzuri
Misri inafananishwa na ndama mzuri.
# wadudu wakali
Hili ni jeshi la Babeli. Wadudu wakali watasababisha maumivu lakini sio maumivu ya kudumu.
# askari ni kama ng'ombe aliyenona
Mwandishi anawafananisha askari kama "mg'ombe aliyenona" kwa sababu askari wanatunzwa vizuri.
# Hawatasimama pamoja
Mwandishi anasema kuwa askari hawatapigana wakiwa na umoja lakini watakimbia wakifikiria kujiokoa wenyewe.
# Misri wana sauti kama nyoka na hutambaa mbali
Mwandishi anasema kuwa taifa la Misri ni kama nyoka ambae hawezi kufanya chochote zaidi ya kutoa sauti na kutambaa kwa hofu wakata misitu wanapoingilia kiota chao.