sw_tn/jer/46/05.md

12 lines
329 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Maono ya Yeremia juu ya Misri yanaendelea.
# Nini ninachokiona hapa?
Bwana anatumia swali kusisitiza kuwa anayoyasema juu ya Misri ni kweli.
# wepesi hawawezi kukimbia na askari hawawezi kutoroka
Sentensi hizi mbili zina maana sawa zikisistiza kuwa hakuna anayeweza kukimbia awe mwenye nguvu au mwepesi.