sw_tn/jer/46/05.md

329 B

Taarifa ya jumla:

Maono ya Yeremia juu ya Misri yanaendelea.

Nini ninachokiona hapa?

Bwana anatumia swali kusisitiza kuwa anayoyasema juu ya Misri ni kweli.

wepesi hawawezi kukimbia na askari hawawezi kutoroka

Sentensi hizi mbili zina maana sawa zikisistiza kuwa hakuna anayeweza kukimbia awe mwenye nguvu au mwepesi.