sw_tn/jer/46/01.md

350 B

Kwa ajili ya Misri

Hii inaonesha kuwa ujumbe ni kwa ajili ya taifa la Misri.

Karkemishi

Karkemishi ni mji ulioko mashariki mwa mto Efrate.

Lijamu

Hii inamaana ya kumuandaa farasi kwa ajili ya kuvuta gari.

Chepeo

Hii ni kofia ya kivita inayolinda kichwa katika vita.

Inoeni mikuki

Hii inamaana ya kuwa kuifanyia mikuku kuwa mikali.