# Kwa ajili ya Misri Hii inaonesha kuwa ujumbe ni kwa ajili ya taifa la Misri. # Karkemishi Karkemishi ni mji ulioko mashariki mwa mto Efrate. # Lijamu Hii inamaana ya kumuandaa farasi kwa ajili ya kuvuta gari. # Chepeo Hii ni kofia ya kivita inayolinda kichwa katika vita. # Inoeni mikuki Hii inamaana ya kuwa kuifanyia mikuku kuwa mikali.