sw_tn/jer/44/22.md

16 lines
248 B
Markdown

# Hwakuweza kuvumilia
"hawakuweza kuvumilia tena"
# hakuna mwenyeji tena hata leo
"hakuna anayeishi huko sasa"
# kufukiza uvumba
"kuteketeza sadaka kwa miungu ya uongo"
# Hamtaisikia sauti yake
"sauti" ni amri za Bwana. "hamtatii amri zake"