sw_tn/jer/44/22.md

248 B

Hwakuweza kuvumilia

"hawakuweza kuvumilia tena"

hakuna mwenyeji tena hata leo

"hakuna anayeishi huko sasa"

kufukiza uvumba

"kuteketeza sadaka kwa miungu ya uongo"

Hamtaisikia sauti yake

"sauti" ni amri za Bwana. "hamtatii amri zake"