sw_tn/jer/44/11.md

16 lines
296 B
Markdown

# nitaelekeza uso wangu dhidi yenu
"kuamua kuwa kinyume nao"
# wataanguka
Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa watakufa.
# Kwa upanga
Vita inaelezwa kwa kutumia silaha inayotumiwa mara nyingi na askari.
# Toka mdogo mpaka mkubwa
Watu wote wasiokuwa na maana na wenye heshima katika jamii.