# nitaelekeza uso wangu dhidi yenu "kuamua kuwa kinyume nao" # wataanguka Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa watakufa. # Kwa upanga Vita inaelezwa kwa kutumia silaha inayotumiwa mara nyingi na askari. # Toka mdogo mpaka mkubwa Watu wote wasiokuwa na maana na wenye heshima katika jamii.