sw_tn/jer/42/18.md

560 B

Ghadhabu na hasira yangu imemwagwa

"Nimeimwaga ghadhabu na hasira yangu"

ghadhabu yangu na hasira yangu

"ghadhabu" na "hasira" vina maana moja.

hasira yangu itamwagwa juu yenu

"nitaimwaga hasira yangu juu yenu"

chombo cha kulaani na hofu, chombo cha kusema laana na mambo ya aibu

Maneo haya yana maana inayofanana yakisisitiza namna ambavyo mataifa mengine watawafanyia watu wa Yuda baada ya Bwana kuwaadhibu.

Nimekuwa shahidi

Bwana ndiye anayehakikisha kuwa wana wa Israeli wanaadhibiwa ikiwa hawatatimiza ahadi tao ya kutii amri za Bwana.