sw_tn/jer/42/18.md

20 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ghadhabu na hasira yangu imemwagwa
"Nimeimwaga ghadhabu na hasira yangu"
# ghadhabu yangu na hasira yangu
"ghadhabu" na "hasira" vina maana moja.
# hasira yangu itamwagwa juu yenu
"nitaimwaga hasira yangu juu yenu"
# chombo cha kulaani na hofu, chombo cha kusema laana na mambo ya aibu
Maneo haya yana maana inayofanana yakisisitiza namna ambavyo mataifa mengine watawafanyia watu wa Yuda baada ya Bwana kuwaadhibu.
# Nimekuwa shahidi
Bwana ndiye anayehakikisha kuwa wana wa Israeli wanaadhibiwa ikiwa hawatatimiza ahadi tao ya kutii amri za Bwana.