sw_tn/jer/42/15.md

12 lines
275 B
Markdown

# upanga mnaouogopa utawapata
"mtaona matokeo mabaya sana ya vita huko"
# Njaa mliyokuwa mkiiogopa itawafuata Misri
"Mlikuwa na hofu juu ya njaa Israeli lakini mkienda Misri mtateseka kwa njaa huko"
# watu wote
Hawa ni watu wote kwa kuwa ni viongozi katika familia zao"