# upanga mnaouogopa utawapata "mtaona matokeo mabaya sana ya vita huko" # Njaa mliyokuwa mkiiogopa itawafuata Misri "Mlikuwa na hofu juu ya njaa Israeli lakini mkienda Misri mtateseka kwa njaa huko" # watu wote Hawa ni watu wote kwa kuwa ni viongozi katika familia zao"