sw_tn/jer/42/01.md

16 lines
296 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Tazama: uandishi wa shairi.
# Yohana ... Karea ... Yezania ... Hoshia
Haya ni majina ya watu.
# watu wote toka kuanzia wadogo mpaka wakubwa
Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote.
# Maombi yetu yakubaliwe mbele yako
"tuyawakilishe maombi yetu mbele yako"