# Taarifa ya jumla: Tazama: uandishi wa shairi. # Yohana ... Karea ... Yezania ... Hoshia Haya ni majina ya watu. # watu wote toka kuanzia wadogo mpaka wakubwa Hii inaonesha kuwa ni watu toka katika madaraja yote. # Maombi yetu yakubaliwe mbele yako "tuyawakilishe maombi yetu mbele yako"